Highlights: Tazama KMC walivyoipa Mbeya City kichapo cha 4-0 - VPL 07/09/2020

5 Просмотры
Издатель
Timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC imeanza ligi kwa kishindo ikiichapa Mbeya City mabao 4-0 katika mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara VPL uliochezwa leo kwenye Dimba la Uhuru, Dar es Salaam.

Magoli ya KMC yamefungwa na Emmanuel Mvuyekure, Hassan Kabunda, Abdul Hillary na Paul Peter

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:


Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM:
►INSTAGRAM:
►TWITTER:
►FACEBOOK:
►WEBSITE:
Категория
Российские фильмы
Комментариев нет.